Saturday, November 7, 2015

Wawezeshaji wa Afya ya Jamii wapo mstari wa mbele kwenye sekta ya afya Tanzania

Electronic Afrika imeanzisha mradi wa eAfya wilayani Kilombero utakao wasaidia Wawezeshaji wa Afya ya Jamii (WAJA). 

Watoto 390 waliyo chini ya miaka mitano wanafariki kila siku kwa magonjwa yanayotibika na kuzuilika kwa mujibu wa UNICEF. Asilimia 32% ya vifo hivyo ni watoto wachanga waliyo na umri wa chini ya siku 28. 

WAJA wanatumia smartphone kumfuatilia mjamzito na hatimaye mtoto wake anapojifungua kuhakikisha afya zao ni salama. Sisi tunaamini ni kheri kuzuia kuliko kuuguza kwa hiyo kazi kubwa ya WAJA ni kuelimisha jamii kama utakavyoona kwenye filamu hapo chini.  

 

No comments:

Post a Comment